Baada ya kupiga domo kwa muda mrefu, Leo asubuhi, Malindians kupitia mtandao wa Youtube, wameachilia show inalenga kuzungumzia pandashuka za maisha ya wakazi wa Malindi aka #PEOPLEOFMALINDI. Show ni utunzi wao Ogutu Atata na Athuman Komora huku ogutu akiwa Mtangazaji (Host) wa Kipindi hicho ilhali Komz ni Reporter anayezunguka mji akitafuta story kwenye mitaa.

Post a Comment

 
Top