sportpesa-hull-

SportPesa ni wafadhili wapya wa shati za Hull City katika upande wa Ligi Kuu .Klabu alithibitisha kupitia tovuti yao rasmi kwamba wametia saini ya kuvunja rekodi ya klabu, deal ya milioni ya pauni za Uingeereza katika mpango wa kuwafanya na kampuni ya Kenya ya michezo ya kubahatisha SportPesa kama mdhamini wao rasmi.

Kauli ilisema, "Kama mdhamini rasmi, SportPesa imetia saini mkataba wa miaka mitatu na watakuwa na jina na kampuni yao pamoja na nembo katika jezi  ya nyumbani ya Tigers , ya Ugenini  na mashati ya tatu kwa misimu ya  2016-17, 2017-18 na 2018-19  ."Udhamini huu mpya ni faida kubwa zaidi katika  historia ya  Club ya miaka 112. Simon King, Meneja wa Mauzo. - Hull City Tigers, alisema:".

Tumefurahi kuunda uhusiano wa miaka mitatu pamoja na kushirikiana na SportPesa "King aliongeza, "SportPesa ni zaidi ya kampuni ya Bahati na sibu, bali hii ni kampuni yenye mizizi mikubwa katika michezo ya ngazi ya chini katika Kenya, kama vile maeneo mengine ya Afrika. mpango huo ni kwa mbali kubwa katika historia yetu na ishara ya tamaa yetu ya kukua Club yetu na kuwa jina kubwa katika mchezo wetu kimataifa. "

Post a Comment

 
Top