kila wiki, kama ilivyokuwa ada ya watu wa Malindi, Pine Court Beach Bar huandaa Karaoke Night siku za Jumatano. Wiki hii itakuwa very special, kwani kikundi cha wasanii kinachojulikana kama "Dirty Crew" watakuwa ndani kama Guest artist na vile vile watakuwa kwa mara ya kwanza wakiangusha video yao mpya.

Usikose kufika Pine Court Beach, opposite Nakumatt malindi kuanzia 9pm siku ya Jumatano 30th November 2016.

Post a Comment

 
Top