Kulingana na tetesi na story mtaani kupitia Malindi Superstars inasemekana kwamba  Chini ya mkataba wa Malindi Records ,Msanii JITUZEE mmoja wakikundi cha GBT kenya atiananga nakuanza kazi zake mpya Ambapo kwa sasa kazi yake ya kwanza amewashirikisha wasanii waliofanya kazi pamoja nakutoa HIT SONG "BOOGIE ZEE" iliyovuma nje na ndani ya nchi ya kenya,BLAZEE familiy akiwemo #Private soldier na Exzel. Msanii jituzee afunguka na kusema kwamba yupo mbioni kumaliza ngoma yao mpya kwa Jina MPENZI USILIE produced by Sango nakuwahidi mafans wao kunavitu hatari hatari watawapakulia hivi karibuni na pia kuna beach party inacome kuja kuwatumbuiza mafans wao!!   tegea uhondo tukujuze weekend hii itakua na mazuri gani!!


Post a Comment

 
Top