Kama ilivyokuwa desturi yetu sis watu wa Malindi, Kila jumatano, tunajumuika Pine Court Beach bar kwa "Karaoke Night". Karaoke night inakuwa ina mengi zaidi kando na karaoke. Inakuwa na nafasi ya kujivunia talanta za wasanii wa mji wa Malindi. Wiki hii haikuwa na tofauti. Tulikuwa na Msanii Angiey Fresh. Mwanadada huyu ni Mzaliwa wa Kisumu lakini ni mkazi wa Malindi. Amekuwa kwa muda wa miaka miwili sana akirekodi nyimbo zake katika studio tofauti tofauti katika mkoa wa pwani, Hivi sasa anavijunia kuwa na vibao visivyopungua nane. Cheki picha hizo .Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

 
Top